Manara afunguka kuelekea mchezo dhidi ya Njombe Mji

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
3 Apr 2018
Manara afunguka kuelekea mchezo dhidi ya Njombe Mji
Afisa Habari wa Simba Haji Manara amesema maandalizi kuelekea mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Njombe Mji kesho yamekamilika.

Manara amesema Simba imefanya mazoezi ya mwisho leo kwenye uwanja wa Sabasaba mkoani Njombe tayari kwa mchezo huo wa kiporo.

Amesema wachezaji wote 22 waliosafiri na kikosi cha Simba mkoani Njombe wako timamu kiafya na yeyote anaweza kutumika kutegemea na maamuzi ya kocha Pierre Lechantre.

Kuhusu hali ya kiungo Jonas Mkude, Manara amesema mchezaji uyo hali yake imeimarika lakini benchi la Ufundi ndio litaamua kama atumike kesho aul la
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
2h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
5h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
11h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
23h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’