Kiungo wa Simba Jonas Mkude jana ameanza rasmi mazoezi mepesi chini ya uangalizi wa daktari baada ya kuumia siku chache zilizopita.
Mkude alisafiri na kikosi cha Simba kwenda mkoani Njombe kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Njombe Mji.
Kurejea kwa Mkude kikosini ni habari njema kwa Simba ambayo imedhamiria kutwaa ubingwa wa ligi kuu ya Vodacom msimu huu.
Hata kama atashindwa kuivaa Njombe kesho, upo uwezekano mkubwa Mkude akawa tayari kuikabili Mtibwa Sugar kwenye mchezo unaofuata April 09.

ADVERTISE HERE