Kikosi cha Simba leo jioni kimefanya mazoezi kwenye uwanja wa Samora mkoani Iringa kujiandaa na mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Njombe Mji.
Simba iko Iringa tangu jana tayari kwa mchezo huo unaotarajiwa kupigwa keshokutwa Jumanne katika uwanja wa Sabasaba Njombe.
Simba inatarajiwa kusafiri kwenda mkoani Njombe kesho Jumatatu.

ADVERTISE HERE