Lechantre ameondoka na 22 tu kwenda Njombe

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
1 Apr 2018
Lechantre ameondoka na 22 tu kwenda Njombe
Mapema jana kabla ya safari ya kwenda Njombe kupitia Iringa, kocha Mkuu wa Simba Pierre Lechantre alitangaza majina ya wachezaji 22 wanaokwenda huku akiwaacha wengine saba

Mastaa ambao Lechantre hakuwajumuisha ni pamoja na kiungo mkongwe, Mwinyi Kazimoto, mabeki wa pembeni, Jamali Mwambeleko na Ally Shomary, Kipa Emmanuel Mseja na kiungo mshambuliaji Mohammed Ibrahim Γ’β‚¬ΛœMOÒ€ℒ waliobaki jijini Dar.

Wachezaji hao ambao walitemwa wanaungana na waliotoka majeruhi akiwamo Haruna Niyonzima na Salum Mbonde ambao wanaendelea kukusanya nguvu kabla ya kuanza kupewa majukumu katika mechi zilizosalia za VPL.

Simba tayari iko mkoani Iringa ikiendelea na maandalizi ambapo kesho Jumatatu inatarajiwa kwenda Njombe.

Mchezo dhidi ya Njombe Mji unapigwa keshokutwa Jumanne, April 03 kwenye uwanja wa Sabasaba Njombe.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
34m ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
18h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’