Leo ni siku muhimu ya kumbukumbu kwa kiungo wa Simba Jonas Mkude anayesherehekea siku yake ya kuzaliwa ikiwa pia ni siku ya Pasaka.
Mkude amekuwa nguzo muhimu ya mafanikio ya kikosi cha Simba msimu huu.
Happy BirthDay Fundi Jonas Mkude.
Mkude amekuwa nguzo muhimu ya mafanikio ya kikosi cha Simba msimu huu.
Happy BirthDay Fundi Jonas Mkude.
ADVERTISE HERE