Kikosi cha Simba kimeondoka jijini Dar es salaam leo Jumamosi saa moja asubuhi kuelekea mkoani Iringa na baadae kwenda Njombe kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Njombe Mji.
Afisa Habari wa Simba Haji Manara amesema Simba itaweka kambi ya siku mbili Iringa na wanatarajia kwenda mkoani Njombe keshokutwa Jumatatu.
Mchezo dhidi ya Njombe Mji unachezwa siku ya Jumanne, April 03 katika uwanja wa Sabasaba

ADVERTISE HERE