Kikosi cha Simba leo kimefanya mazoezi ya mwisho kwenye uwanja wa Boko Veterans jijini Dar es salaam kabla ya safari ya kuelekea Njombe kesho.
Simba inatarajiwa kuondoka jijini Dar es salaam kesho Jumamosi saa moja asubuhi kuelekea Iringa ambako itaweka kambi ya siku mbili kabla ya safari ya kuifuata Njombe Mji Jumatatu.
Mchezo dhidi ya Njombe Mji utapigwa kwenye uwanja wa Sabasaba siku ya Jumanne, April 03 2018.
Kikosi cha Njombe Mji nacho kinatarajiwa kurejea mkoani Njombe kesho baada ya leo kuondoshwa kwenye kombe la FA kwa kuchapwa bao 1-0 na Stand United mkoani Shinyanga.

ADVERTISE HERE