Simba kuweka kambi ya muda Iringa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
30 Mar 2018
Simba kuweka kambi ya muda Iringa
Kikosi cha SImba kinatarajiwa kuondoka kesho Jumamosi kwenda mkoani Njombe kupitia Iringa kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Njombe Mji.

Mchezo huo utachezwa April 03 kwenye uwanja wa Sabasaba huko Njombe.

Afisa Habari wa Simba Haji Manara amesema Simba itaweka kambi ya siku mbili mkoani Iringa kabla ya kuelekea Njombe Jumatatu asubuhi.

Vinara hao wa ligi kuu ya Vodacom wanasaka ushindi muhimu kwenye mchezo huo ili wazidi kujiimarisha kileleni kwa tofauti ya alama tatu dhidi ya mahasimu wao Yanga
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
15h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
23h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’