Kichuya amvutia staa wa Everton

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
29 Mar 2018
Kichuya amvutia staa wa Everton
Mshambuliaji wa Everton Yannick Bolasie ambaye alikuja nchini Tanzania na kikoxi cha DR Congo kilichocheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Tanzania juzi, amevutiwa na kiwango kilichoonyeshwa na winga wa Simba Shiza Kichuya.

Kichuya alifunga bao la pili kwenye mchezo huo uliopigwa kwenye uwanja wa Taifa ambao Stars iliondoka na ushindi wa mabao 2-0.

Kichuya pia alitengeneza bao la kwanza lililfungwa na Samata.

Bolasie amesema Kichuya ana kiwango cha kusakata kabumbu Ulaya na akasema kama atapata wakala mzuri hatachelewa kupata timu.

Kichuya anamaliza mkataba wa kuitumikia Simba mwishoni mwa msimu na licha ya uongozi wa Simba kufanya juhudi kubwa za kutaka kumuongezea mkataba mapema, mwenyewe amegoma kusaini mkataba mpya hadi mwishoni mwa msimu.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
28m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
22h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’