Kikosi cha Simba kinaendelea na mazoezi makali chini ya kocha Mkuu Pierre Lechantre na Msaidizi wake Masudi Djuma kwenye viwanja vya Boko Veterani jijini Dar es salaam.
Simba inatarajiwa kusafiri kwenda mkoani Njombe kuikabili Njombe Mji April 03 kisha kuelekea mkoani Morogoro kucheza na Mtibwa Sugar April 09.

Mchezo dhidi ya Njombe Mji ni mchezo wa kiporo, ushindi utaifanya Simba ifikishe alama 49 hivyo iongoze kwa tofauti ya alama tatu dhidi ya wapinzani wake Yanga.

ADVERTISE HERE