Daktari wa Simba Yassin Gembe amesema huenda kiungo Jonas Mkude akahitaji kupumzishwa kwa wiki moja ili aweze kupona kabisa majeraha yake kinyume na taarifa iliyotolewa awali.
Jana Dk Gembe alisema Mkude angerejea mazoezini baada ya siku mbili kufuatia majeraha aliyopata mazoezini juzi lakini sasa amesema huenda atakaa nje kwa wiki moja ili kuhakikisha amepona kabisa.
"Haitakuwa jambo zuri kumharakisha kurejea dimbani, tutamuangalia kwa muda wa hadi wiki moja," amesema Dk Gembe.

ADVERTISE HERE