Niyonzima afurahia kurejea kikosini

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
28 Mar 2018
Niyonzima afurahia kurejea kikosini
Kiungo wa Simba Haruna Niyonzima amerejea kikosini baada ya kupona majeraha yake. Ameanza mazoezi mepesi chini ya uangalizi wa makocha wa benchi la ufundi.

Mwenyewe anafurahia kurejea kikosini na ameahidi kuisaidia Simba kutwaa ubingwa wa ligi kuu ya Vodacom msimu huu.

Katika mahojiano yake kwenye kipinci cha michezo cha Radio One, Niyonzima amesema anashukuru Mungu kuona hali yake inaimarika, na amesema anaweza akarejea kikosini hivi karibuni kuanza kucheza.

Majeraha ya enka yamemuweka Niyonzima nje kwa zaidi ya miezi mitatu.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
6m ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
18h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’