Mkude alivyotolewa uwanjani jana baada ya kuumia

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
27 Mar 2018
Mkude alivyotolewa uwanjani jana baada ya kuumia
Kiungo wa Simba Jonas Mkude jana alipata majeraha ya kifundo cha mguu yaliyomfanya atolewe uwanjani kwa kubebwa baada ya kushindwa kutembea.

Mkude aliumia wakati akiwa kwenye harakati za kuwania mpira dhidi ya Mzamiru Yasssini.

Uingozi wa klabu ya Simba unatarajiwa kutoa taarifa rasmi kuhusu majeraha ya Mkude na muda anaotarajiwa kukaa nje.

Mkude ameumia wakati ambao Simba inajiandaa kuikabili Njombe Mji kwenye mchezo wa ligi kuu ya Vodacom utakaofanyika Njombe.



ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
33m ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
7h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
19h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’