Kiungo mkongwe katika kikosi cha Simba Jonas Mkude amepata majeraha ya kifundo cha mguu mazoezini leo.
Daktari wa kikosi cha SImba Yassin Gembe amesema Mkude amepata majeraha ya kawaida ya kifundo cha mguu hata hivyo atafanyiwa vipimo kamili kesho Jumanne.
Uongozi wa Simba unatarajiwa kutoa taarifa kamili juu ya majeraha ya kiungo huyo aliye katika kiwango bora baada ya kufanyiwa vipimo.
Simba inajifua kwenye uwanja wa Boko Veterani jijini Dar es salaam kujiandaa na mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Njombe Mji.

ADVERTISE HERE