Nahodha wa Simba John Bocco leo ameungana na wachezaji wengine wa kikosi cha Simba kinachojifua kujiandaa na mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi Njombe Mji.
Wachezaji wengine walioanza mazoezi leo baada ya kupona majeraha ni kiungo Haruna Niyonzima na beki Salum Mbonde.
Simba itasafiri kwenda mkoani Njombe April 03 kuikabili Njombe Mji katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom mzunguuko wa 21.
Baada ya mchezo huo Simba itasafiri mkoani Morogoro kuikabili Mtibwa Sugar huo ukiwa mchezo wa kiporo unaotarajiwa kupigwa April 09

ADVERTISE HERE