Mkurugenzi wa Bodi ya Ligi Boniface Wambura leo ametoa ratiba mpya ya michezo iliyobaki ya ligi kuu ya Vodacom ambapo mchezo kati ya Njombe Mji dhidi ya Simba utapigwa April 03.
Njombe Mji imekuwa ikilalamika kwenye vyombo vya habari kuwa ratiba hiyo itakuwa ngumu kutekelezeka kwa kuwa March 30 itakuwa mkoani Shinyanga kucheza mchezo wa kombe la FA dhidi ya Stand United.
Simba inatarajiwa kucheza michezo mingine mitatu mwezi wa nne kama inavyoonekana hapa chini.
Mtibwa vs Simba Aprili 9
Lipuli FC vs Simba Aprili 20
Simba vs Yanga Aprili 29

ADVERTISE HERE