Simba yajifua kikamilifu kuikabili Njombe Mji

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
26 Mar 2018
Simba yajifua kikamilifu kuikabili Njombe Mji
Kikosi cha Simba kimeendelea kujifua kwenye uwanja wa Boko Veterani jijini Dar es salaam kujiandaa na mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Njombe Mji April 03.

Simba inawakosa Emanuel Okwi, Juuko Murshidi, Aishi Manula, Shomari Kapombe, Erasto Nyoni na Shiza Kichuya ambao wako kwenye majukumu ya timu za Taifa.

Wachezaji hao wanatarajia kurejea kikosini mapema wiki hii baada ya michezo ya kirafiki ya mataifa yao kesho.

Stars itacheza na DR Congo kesho Jumanne, March 27 wakati Uganda itachuana na Malawi.

Simba imedhamiria kushinda michezo yake 10 iliyobaki ili kujihakikishia kutwaa ubingwa wa ligi kuu ya Vodacom msimu huu.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
2h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
13h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
19h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
22h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’