Beki wa Kimataifa wa Uganda anayechezea klabu ya Simba, Juuko Murshid jana alifunga moja ya mabao ya Uganda kwenye ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Sao Tome katika mchezo wa Kimataifa wa kirafiki.
Mabao mengine ya Uganda yalifungwa na Joseph Ochaya na Abraham Ndugwa huku lile la kufutia machozi kwa upande wa Sao Tome liliwekwa kambani na Jose Varaela.
Emanuel Okwi, kinara wa mabao ligi kuu ya Vodacom aliongoza safu ya ushambuliaji ya kikosi cha Uganda Cranes.

ADVERTISE HERE