Kikosi cha timu ya Taifa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kimewasili usiku wa kuamkia leo tayari kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Tanzania.
Mchezo huo ulio kwenye kalenda ya FIFA utapigwa keshokutwa Jumanne, March 27 kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Huo unakuwa mchezo wa pili kwa Stars wakati huu baada ya juzi kulazwa mabao 4-1 na Algeria.
Baada ya mapumziko ya siku moja, kikosi cha Stars leo kinaendelea na mazoezi kwenye uwanja wa Taifa kujiandaa na mchezo huo.

ADVERTISE HERE