Nyamlani kukaimu nafasi ya Wambura TFF

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
25 Mar 2018
Nyamlani kukaimu nafasi ya Wambura TFF
Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la soka nchini (TFF) imemteua Mjumbe wa Kamati hiyo Athumani Nyamlani kukaimu nafasi ya Makamu wa Rais wa Shirikisho hilo.

Jana Kamati hiyo ilikutana na kufikia uamuzi huo wa kuziba nafasi iliyokuwa inashikiliwa na Michael Wambura ambaye ameingia katika mgogoro na Shirikisho hilo.

Mapema mwezi huu TFF ilimfungia maisha Wambura kujihusisha na maswala ya soka baada ya Kamati ya Maadili kumkuta na hatia kwenye mambo matatu ya kupokea fedha za Shirikisho malipo yasiyo halali, kugushi barua na kushusha hadhi ya Shirikisho.

Wambura tayari amekata rufaa 'iliyokumbana na vikwazo vingi' kupinga tuhuma hizo
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
6h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’