Wachezaji Simba warejea 'mzigoni'

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
25 Mar 2018
Wachezaji Simba warejea 'mzigoni'
Baada ya mapumziko ya siku kadhaa, kikosi cha Simba leo kimeanza kujifua kujiandaa na michezo ya ligi kuu ya Vodacom.

Wachezaji ambao hawana majukumu ya Kimataifa katika timu za Taifa leo wameanza mazoezi kwenye uwanja wa Boko Veterani jijini Dar es salaam.

Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa na TFF jana, Simba inatarajiwa kucheza na Njombe Mji mkoani Njombe April 03 kabla ya kusafiri kuivaa Mtibwa Sugar mkoani Morogoro April 08.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
7m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’