Kiungo wa Simba Haruna Niyonzima ameanza program maalum ya mazoezi ya Gym kuimarisha mwili wake baada ya kuwa nje kwa muda mrefu kutokana na majeruhi.
Niyonzima ameanza program hiyo jana ikiwa ni hatua ya mwanzo ya kuhakikisha anakuwa fiti kabla hajarejea kikosini Simba.
Katika mazoezi ya jana alikutana na waliokuwa wachezaji wenza katika klabu ya Yanga Thabani Kamusoko na Amissi Tambwe ambao nao wanashiriki mazoezi hayo ya Gym.

ADVERTISE HERE