Stars kucheza na DR Congo March 27

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
23 Mar 2018
Stars kucheza na DR Congo March 27
Baada ya kuchapwa mabao 4-1 na Algeria jana, Stars itashuka kwenye uwanja wa Taifa Jumanne ijayo, March 27 2018 kujaribu kuwafuta machozi watanzania itakapoikabili DR Congo kwenye mchezo mwingine wa kirafiki ulio kwenye kalenda ya FIFA.

Bila ya kujali matokeo ya jana, Shirikisho la soka nchini TFF limefanya uamuzi sahihi wa kuitafutia Stars timu zilizo juu zaidi kwenye viwango vya FIFA.

Wadau wa soka nchini wamekuwa wakiilaumu TFF kwa kuitafutia Stars michezo ya kirafiki na timu za Taifa ambazo tuko nazo viwango sawa au kuwazidi.

Algeria na DR Congo ni vipimo sahihi kwa Stars kujitathmini kuelekea kampeni ya kusaka tiketi ya kushiriki AFCON 2019.

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
2h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
5h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
23h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’