Hivi karibuni beki wa Simba Salim Mbonde alipata ajali ya pikipiki iliyomsababishia majeraha juu ya jicho na kushonwa nyuzi tatu.
Ajali hiyo ilisababisha beki huyo aliyesajiliwa kutoka Mtibwa Sugar aondolewe kwenye kikosi cha Simba kilichosafiri kwenda nchini Misri.
Taarifa za uhakika ni kwamba beki huyo ameondolewa nyuzi alizoshonwa na sasa yuko tayari kurejea mazoezi ya kikosi cha Simba kuanzia Jumatatu ijayo.
Kwa sasa niko fiti, natarajia kuungana na wenzangu Jumatatu ya wiki ijayo kujiandaa na mchezo wetu dhidi ya Njombe," amesema Mbonde.

ADVERTISE HERE