Nduda kuwasili kutoka India

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
17 Oct 2017
Nduda kuwasili kutoka India
Mlinda lango namba mbili wa Simba, Said Mohamed Nduda anatarajia kuwasili nchini leo Jumatatu akitokea India kwa matibabu lakini bahari njema kwa mashabiki wake ni kwamba, atarudi uwanjani rasmi, mapema Januari.

Nduda alikwenda India mwanzoni mwa mwezi huu kwa ajili ya upasuaji wa goti, ameshatibiwa na anarudi akiwa tayari ameshaanza programu maalumu ya azoezi ya viungo.

Amesema: "Namshuku Mungu nawashukuru Simba na wadau wote wa michezo kwa kufanikisha hili, ninachoomba ni kurudi katika afya yangu. Nimepewa programu maalumu ya mazoezi ya viungo ambayo nilianza baada ya kutibiwa na mazoezi ya uwanjani, nimeambiwa mpaka baada ya miezi miwili."

Mchezaji huyo alipata maumivu ya goti Kisiwani Zanzibar alipokuwa na kikosi chake katika maandalizi ya msimu wa ligi na mechi ya Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
15h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’