Stars mikononi mwa Algeria leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
22 Mar 2018
Stars mikononi mwa Algeria leo
Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' leo Alhamisi itacheza mchezo wa Kimataifa wa kirafiki dhidi ya Algeria huko Blida, Algers.

Mchezo huo uko kwenye kalenda ya FIFA na utaweza kuipandisha Stars katika viwango kama itaibuka na ushindi au hata kupata sare.

Mara ya mwisho timu hizo zilipokutana mwaka 2015 kwenye uwanja huo katika kusaka tiketi ya kufuzu michuano ya AFCON Stars ililala kwa mabao 7-0.

Hata hivyo hali ya hewa ya baridi kali nchini humo inaonekana kuwasumbua wachezaji wa Stars ambao wanacheza soka ndani.

Stars iko nchini Algeria ikiwa na kikosi kamili kinachoongozwa na nahodha Mbwana Samatta.

Mchezo huo unatarajiwa kupigwa saa mbili usiku kwa saa za Tanzania.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
9h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
13h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’