Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' tayari iko nchini Algeria kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya wenyeji wao kesho Alhamisi.
Afisa Habari wa Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Clifford Ndimbo amesema Stars imeanza kujifua leo na watalazimika kuzoea kwa haraka hali ya hewa ya baridi nchini humo.
Ndimbo amesema kiwango cha baridi nchini humo ni nyuzi joto 7 na imekuwa changamoto kwa wachezaji wanaocheza soka nchini.
Hali ni tofauti kwa wachezaji wanaocheza Morocco, Ubelgiji na Afrik Kusini ambako nako kuna hali ya hewa ya baridi kali.
Stars imeanza kujifua jioni ya leo ili kuzoea mazingira kabla ya mchezo huo kesho.

ADVERTISE HERE