Balozi wa Tanzania nchini Misri Gen Issa Nassor jana aliwaalika viongozi na wachezaji wa Simba nyumbani kwake kuwapongeza licha ya kutolewa na Al Masry kwenye michuano ya kombe la Shirikisho Barani Afrika.
Simba iliilazimisha suluhu ya bila kufungana Al Masry kwenye mchezo uliopigwa jiji la Port Said huko Misri.
Matokeo ya sare ya mabao 2-2 iliyopata Al Masry kwenye uwanja wa Taifa ndio yameisaidia kutinga raundi ya pili
Kikosi cha Simba tayari kimeondoka nchini Misri kurejea Tanzania.

ADVERTISE HERE