Simba yaja na utaratibu wa kuzungumza na wanahabari kila Jumatatu kasoro leo

Shabiki Waukweli By Shabiki Waukweli
β€’
25 Sep 2017
Simba yaja na utaratibu wa kuzungumza na wanahabari kila Jumatatu kasoro leo
TAARIFA VYA VYOMBO VYA HABARI

Klabu ya Simba inapenda kuwataarifu waandishi wote wa habari za michezo kuwa leo Jumatatu hakutakuwa na mkutano na waandishi wa habari kama mlivyotaarifiwa wiki iliyopita.

Hii nikutokana na Mkuu wa idara ya Habari na mawasiliano wa klabu kuambatana na timu kanda ya ziwa kwa ajili ya michezo ya Ligi Kuu.

Hivyo Klabu inawaomba radhi kwa usumbufu wote mlioupata lakini pia kwa kuchelewa kuipata taarifa hii kwa wakati.

Aidha idara ya habari na mawasiliano ya klabu inawataka waandishi wote kuuzingatia utaratibu huu wa Press kila Jumatatu kuanzia wiki ijayo ambapo kutakuwa na mengi ya kuzungumza nanyi.

Imetolewa na Mkuu wa idara ya habari na mawasiliano

Haji .S Manara
Simba Nguvu Moja..
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
9h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
15h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
18h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
22h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’