Simba yaondoka Misri

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
18 Mar 2018
Simba yaondoka Misri
Kikosi cha Simba tayari kimeondoka nchini Misri kurejea Tanzania baada ya kuondoshwa kwenye michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika kwa kulazimishwa suluhu ya 0-0 na Al Masry.

Simba imeondoshwa kwenye hatua hiyo kwa magoli ya ugenini iliyopata Al Masry katika mchezo uliopigwa kwenye uwanja wa Taifa na kumalizika kwa sare ya mabao 2-2.

Baada ya kurejea wachezaji walioitwa kwenye vikosi vya timu za Taifa watajiunga na timu zao kwa ajili ya michezo ya Kimataifa ya kirafiki kulingana na kalenda ya FIFA.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
11h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
14h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
21h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’