Al Masry yaibania Azam TV kurusha mubashara mchezo wa leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
17 Mar 2018
Al Masry yaibania Azam TV kurusha mubashara mchezo wa leo
Mchezo wa marudiano kati ya Al Masry dhidi ya Simba unaopigwa huko Port Said Misri leo hautaonyeshwa mubashara na Azam TV baada ya klabu ya Al Masry kugoma kutoa haki za matangazo hayo.

Mkuu wa Kitengo cha Habari klabu ya Simba, Haji Manara amethibitisha Azam TV kunyimwa haki za kuonyesha mchezo huo unaotarajiwa kupigwa kuanzia saa 2:30 usiku.

Simba inahitaji ushindi wa aina yoyote ugenini ili kuweza kusonga mbele katika michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
2h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
14h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
20h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
22h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’