Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe amtua jijini Port Said kuungana na kikosi cha Simba.
Simba kesho inashuka dimbani nchini Misri kuikabili Al Masry kwenye mchezo wa marudiano kombe la Shirikisho barani Afrika
Hans Poppe amewasili Port Said mchana wa leo na kuungana na viongozi wa Simba wakiwemo Kaimu Rais, Salim Try Again na Kaimu Makamu wake, Iddi Kajuna.
Pia wako wajumbe wa Kamati ya Utendaji, Musley Al Rawah pamoja na Said Tuli.

ADVERTISE HERE