Simba tayari iko katika jiji la Port Said ikisubiri mchezo wa marudiano kombe la shirikisho barani Afrika dhidi ya Al Masry.
Mchezo huo unatarajiwa kupigwa keshokutwa Jumamosi, March 17 jijini humo.
Kikosi cha Simba kimewasili mapema leo Alhamisi ambapo usiku huu kimeanza kujifua kujiandaa na mchezo huo ambao Simba inahitaji matokeo ya ushindi wa aina yoyote au sare ya kuanzia mabao 3-3.
Matokeo ya sare ya mabao 2-2 iliyopata Simba nyumbani kwenye mchezo wa kwanza inailazimu Simba kusaka matokeo kwenye mchezo huo wa ugenini ili iweze kutinga hatua ya 16 bora.

ADVERTISE HERE