Kikosi cha Simba kinatarajiwa kuondoka leo Jumatano saa 10:00 jioni kuelekea nchini Misri kwa usafiri za Ndege za Ethiopia Airlines.
Mapema leo asubuhi wachezaji wa Simba wamefanya mazoezi ya mwisho kwenye uwanja wa Boko Veterani jijini Dar es salaam.
Jumla ya wachezaji 20 na viongozi tisa wanatarajiwa kuwa kwenye msafara huo.

ADVERTISE HERE