Wakati Simba ikitarajiwa kuondoka leo kwenda Misri, kiungo fundi Haruna Niyonzima ameanza mazoezi mepesi leo ikiwa na hatua za mwanzo kurejea kikosini.
Niyonzima amerejea wiki iliyopita kutoka nchini India alikokwenda kutibiwa majeraha ya goti.
Niyonzima ameanza kujifua kichangani kukiwa na uwezekano wa kurejea kikosini baada ya mchezo wa marudiano kombe la shirikisho dhidi ya Al Masry

ADVERTISE HERE