Nahodha wa Simba SC, Method Mwanjali amesema kwamba wamejiandaa vizuri kwa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Mtibwa Sugar Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam leo.
Mwanjali amesema kwamba matarajio yao ni ushindi tu katika mchezo huo, kwa sababu lengo lao ni kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu msimu huu.
Pamoja na hayo, Mwanjali amewataka mashabiki na wapenzi wa Simba kujitokeza kwa wingi kuisapoti timu yao katika mchezo huo ambao unatarajiwa kuwa mgumu kama ilivyo kawaida kila timu hizo zinapokutana.
“Tumejiandaa vyema na maandalizi ya kuelekea mchezo wetu wa Jumapili yanaendelea vizuri, mashabiki na wapenzi wote wa Simba wajitokeze kwa wingi kuja kutupa sapoti timu yao kwa ajili ya kupata matokeo mazuri,â€alisema Mwanjali.
Simba inahitaji sare au ushindi ili kuiondoa Yanga kileleni mwa msimamo wa ligi kuu ya Vodacom.

ADVERTISE HERE