Kikosi cha Simba kimeendelea na mazoezi katika uwanja wa Boko Veterani jijini Dar es salaam kujiandaa na mchezo wa marudiano kombe la shirikisho dhidi ya Al Masry.
Mchezo huo unatarajiwa kupigwa nchini Misry Jumamosi ijayo, March 17.
Kikosi cha Simba kinatarajiwa kuondoka kesho Jumatano kuelekea Misri tayari kwa mchezo huo ambao wekundu wa Msimbazi wanahitaji ushindi wa aina yoyote ili kusonga mbele.
Mchezo wa kwanza uliopigwa kwenye uwanja wa Taifa ulimalizika kwa sare ya mabao 2-2.

ADVERTISE HERE