Simba inatarajiwa kuondoka Jumatano ijayo kwenda nchini Misri kwa ajili ya mchezo wake wa marudiano kombe la Shirikisho dhidi ya Al Masry.
Mchezo huo unatarajiwa kupigwa Jumamosi ijayo, March 17, 2018.
Kwa sasa kikosi cha Simba chini ya kocha wake Mkuu Pierre Lechantre kinajifua kikamilifu kwenye viwanja vya Boko Veterani jijini Dar es salaam.
Aidha kuahirishwa kwa michezo yake miwili ya ligi kumelipa nafasi benchi la Ufundi kupata muda wa kutosha kuiandaa timu tayari kwa mchezo huo

ADVERTISE HERE