Simba Queens, mabingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake 'Serengeti Lite' leo wamekabidhiwa ubingwa wa ligi hiyo baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Twiga Stars
Simba Queens wameshinda ubingwa huo kwa msimu wa pili mfululizo
Ni mwendo wa mataji kwa Simba Sc kwani Jumapili ijayo kaka zao nao watakabidhiwa 'ndoo' ya Ligi Kuu waliyoitwaa kwa misimu minne mfululizo

