Ndemla ataja siri ya kuimarika kwa kiwango chake

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
•
10 Mar 2018
Ndemla ataja siri ya kuimarika kwa kiwango chake
Kiungo mbunifu wa Simba, Said Ndemla amesema moja ya siri ambayo imekuwa nyuma ya kiwango chake ni kucheza kwa kufurahia mpira muda wote wa mchezo.

Ndemla amekuwa moja ya wachezaji muhimu kwenye kikosi cha Simba kutokana na kiwango chake bora ambacho amekuwa akikionyesha tangu arejee nchini akitokea, Sweden ambako alienda kufanya majaribio ya kucheza soka la kulipwa.

“Moyoni mwangu nina mapenzi makubwa na mpira mbali ya kuwa ni kazi yangu,eneo ninalocheza la kiungo limenifanya kuwa na ufurahia mpira kwa maana ya kuzunguka muda wote na kuuchezea.

“Huwezi ukanikuta nimesimama bila mpangilio uwanja lazima unione nikiwa nazunguka kwa kutafuta mpira,napenda kuwa na mpira miguuni mwangu,” alisema Ndemla.

Mwanaspoti
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE →
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
15h ago
READ MORE →
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE →
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE →
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE →
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE →
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE →
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE →
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE →
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE →