Huyu ni Mnyama Mugalu

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
8 Jul 2021
Huyu ni Mnyama Mugalu

Chris Mugalu jana ameipa Simba alama tatu muhimu katika ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya KMC yeye akiweka kambani mabao yote

Anapanda mpaka nafasi ya tatu kwenye mbio za kuwania kiatu cha dhahabu baada ya kufikisha mabao 12

Nahodha wa Simba John Bocco ndiye kinara katika mbio za kuwania kiatu cha dhahabu akifunga mabao 14 kama ilivyo kw aPrince Dube wa Azam Fc

Katika michezo 16 ambayo Mugalu amecheza kwenye ligi, amehusika katika mabao 14

Amefunga mabao 12 na kutoa pasi za mabao mawili

Huyu ni Mnyama Mugaluuuuu..

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
7h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’