Ajibu kuibukia KMC

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
7 Jul 2021
Ajibu kuibukia KMC

Kiungo mshambuliaji wa Simba Ibrahim Ajibu, huenda akajiunga na klabu ya KMC ambao leo wako dimbani kuwakabili mabingwa Simba

Ajibu hayuko kwenye mipango ya kocha Didier Gomes ambapo kwa muda mrefu hajaonekana kikosini ikielezwa kuwa ni mgonjwa

Hivi karibuni Mtendaji Mkuu wa Simba Barbara Gonzalez alisema hawataendelea kuwakumbatia wachezaji ambao hawana kiu ya kucheza mpira

Mkataba wake na Simba tayari umefikia tamati, atakuwa mchezaji huru baada ya mchezo wa mwisho utakaopigwa Julai 18

Mpaka sasa Simba haijampa ofa ya mkataba mpya

Msimu huu amefunga mabao matatu, moja kwenye ligi na mawili kwenye michuano ya kombe la Shirikisho la Azam

Majeruhi na maradhi ya mara kwa mara yamesababisha asionekane kikosini kwa muda mrefu

 

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
7h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
13h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
16h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’