Mabingwa wa nchi Simba wamekamilisha maandalizi yao ya mwisho kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya KMC
Mchezo huo utapigwa kesho Jumatano kunako dimba la Benjamin Mkapa, saa moja usiku
Ni nafasi nyingine kwa mabingwa kumaliza kazi ya msako wa ubingwa wa nne mfululizo










ADVERTISE HERE