Tumejipanga kushinda mchezo dhidi ya KMC - Matola

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
6 Jul 2021
Tumejipanga kushinda mchezo dhidi ya KMC - Matola

Kocha Msaidizi wa Simba Selemani Matola amesema wamejipanga kuhakikisha wanapata ushindi dhidi ya KMC katika mchezo wa ligi kuu utakaopigwa kesho Jumatano uwanja wa Benjamin Mkapa

Akizungumza maandalizi ya mchezo huo, Matola amesema baada ya kupoteza mchezo wa dabi, huo ni mchezo mwingine ambao wamelenga kshinda

Amesema wachezaji wanafahamu ushindi katika mchezo huo utawapa uhakika wa kutwaa ubingwa msimu huu

"Tumetoka kupoteza mechi ya dabi lakini huu ni mchezo mwingine tofauti na kama tutashinda tutakuwa tumeukaribia zaidi ubingwa na hilo ndio jambo ambalo tunataka litoke"

"Tunajua mchezo hautakuwa mwepesi lakini tumejipanga kushinda," alisema Matola

Mchezo dhidi ya KMC utapigwa Jumatano kuanzia saa moja kamili usiku

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
2h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
5h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
23h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’