Penati za Morrison zamkera Mo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
5 Jul 2021
Penati za Morrison zamkera Mo

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Bilionea Mohammed Dewji 'Mo' ameonyesha kukerwa na matukio ya Simba kunyimwa mikwaju miwili ya penati ya dhahiri katika mchezo dhidi ya Yanga uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa juzi Jumamosi

Katika mchezo huo ambao Yanga walipata ushindi wa bao 1-0, winga Bernard Morrion alihusika kwenye matukio mawili ambayo kwa hakika mwamuzi Emmanuel Mwandembwa alipaswa kutoa adhabu ya penati

Tukio la kwanza lililotokea kwenye kipindi cha kwanza baada ya krosi ya Morrison kumgonga mkononi beki Dickson Job akiwa ndani ya eneo la hatari

Lakini pia kwenye kipindi cha pili, Morrison alivutwa jezi na Deus Kaseke na kuangushwa ndani ya eneo la hatari lakini mwamuzi akapeta

Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii, Mo amekumbushia matukio hayo huku akiwapa pongezi Yanga

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
3h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
9h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
12h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’