Simba yarejea kuiwinda KMC

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
5 Jul 2021
Simba yarejea kuiwinda KMC

Baada ya mapumziko ya siku moja, kikosi cha Simba kinarejea mazoezini leo kujiandaa na mchezo wa ligi kuu unaofuata dhidi ya KMC

Mchezo huo utapigwa keshokutwa Jumatano, Julai 07 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Huu ni mchezo mwingine muhimu kwa Simba kwani alama tatu zitafanikisha lengo la kutwaa ubingwa wa nne mfululizo

Aidha ni mchezo ambao Simba inaweza kuutumia kurejesha furaha ya mashabiki baada ya kupoteza mchezo uliopita dhidi ya Yanga

Kwa sasa wanachosubiri Wanamsimbazi ni kushangilia ubingwa tu

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
42m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
4h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
10h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
22h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’