Tutarudi imara zaidi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
4 Jul 2021
Tutarudi imara zaidi

Uongozi wa klabu ya Simba umewashukuru mashabiki wake kwa kujitokeza kwa wingi kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Yanga uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa Jumamosi, Julai 03 2021

Pamoja na kupoteza mchezo huo, mashabiki wa Simba walijitokeza kwa wingi kuwapa hamasa wachezaji wao kama ulivyo utamaduni wa mabingwa hao wa nchi

"Tunawashukuru sana Wanasimba kwa kujitokeza kwa wingi kuja kutushangilia. Haikuwa siku nzuri kwetu lakini tunajipanga na tutarudi imara zaidi," ilisema taarifa ya Simba

Simba itarejea tena uwanja wa Benjamin Mkapa siku ya Jumatano kuikabili KMC

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
8h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
12h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
18h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’