Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi klabu ya Simba Mohammed Dewji 'Mo', amewapongeza watani Yanga kwa kuweza kupata ushindi katika mchezo wa jana
Mo amesema matokeo hayo yamemuumiza sana lakini ameyakubali kwa sababu ndivyo mpira ulivyo
Aidha, Mo amewapa pole mashabiki wa Simba na kuwataka wasivunjike moyo
ADVERTISE HERE