Kituo kinachofuata ni KMC

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
4 Jul 2021
Kituo kinachofuata ni KMC

Pamoja na kupoteza mchezo wa jana dhidi ya Yanga, mabingwa wa nchi Simba wanaweza kutangaza ubingwa mchezo ujao dhidi ya KMC kama watapata ushindi

Ni Jumatano ya Julai 07 Simba watakuwa wageni kwa KMC katika mchezo ambao utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa

Kimahesabu Simba inahitaji alama tatu tu kutwaa ubingwa huku wakiwa na michezo minnne mkononi

Baada ya mchezo dhidi ya KMC, Julai 10 watashuka tena uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Coastal Union

Julai 14 wataelekea Chamazi kuikabili Azam Fc na baadae kumaliza msimu kwa kuumana na Namungo Fc katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa, Julai 18

Walichofanikiwa Yanga jana ni kuchelewesha sherehe za ubingwa ambazo zingenoga zaidi siku ya jana

Lakini ni suala la muda tu, Simba itarejesha taji la VPL kabatini kwa msimu wa nne mfululizo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
6h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
12h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
15h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’