Walikuwa na bahati tu - Manara

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
3 Jul 2021
Walikuwa na bahati tu - Manara

Afisa Habari wa Simba Haji Manara amewapongeza Yanga kwa kuweza kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Simba leo katika mchezo muhimu ambao Simba ilizihitaji alama zote tatu kuweza kutangaza ubingwa

Manara amesema Yanga walifanikiwa zaidi kimbinu hasa kwenye kipindi cha kwanza na pia walikuwa na bahati

"Tumefungwa na timu iliyocheza kimbinu vema zaidi yetu na bahati kubwa kwao. Hatukuwa Simba kipindi cha kwanza lakini huo ndio mpira. Hongereni Sana Utopolo," aliandika Manara kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii

Kwa mara nyingine leo Simba imeshindwa kupata ushindi katika mchezo ambao walitawala kipindi chote cha pili

Nafasi moja kubwa waliyoipata Yanga kwenye kipindi cha kwanza waliitumia vyema kuweza kufunga

Lakini Simba ilipata nafasi nzuri zaidi kwenye kipindi cha pili mojawapo ikiwa na Bernard Morrison ambaye alipiga mpira nje akiwa hatua nne tu kutoka golini

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
15h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’